MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON OTIENO WAWASILI NYUMBANI KWAKE MBEZI, KUAGWA KESHO LEADERS [PICHA]
Ilikuwa majira
ya saa kumi na moja alasiri katika hospital ya Aghakan ndipo mwili
ulihamishiwa baada ya kutoka hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni.
Pichani juu ni gari maalumu la kubeba maiti na hapa lilikuwa likisubiri
mwili wa mpendwa wetu Geogre Tyson tayari kwa safari ya kuelekea
nyumbani kwake Mbezi Beach Makonde.
Pichani ni wafanyakazi wa TV1 wakiwa wanausubiri mwili kutolewa nje.
Mpendwa wetu akiwa ametulia kwenye nyumba yake ya milele.
Steve Nyerere pamoja na Rich Rich wakiwa kwenye nyuso za huzuni na kukubali kweli hawatomuona tena Tyson
Anaitwa pasta Bob Makali kutoka Ocean Community Church alikuwa akiubiri neno la mungu na kuendesha ibada nyumbani kwa marehemu.
Mtoto wa
marehemu Tyson anaitwa Sonia pamoja na mama mtoto Monalisa wakiwa kwenye
huzuni baada ya kuambiwa waende kumtizama mpendwa wao.

No comments:
Post a Comment