Mapenzi kweli yanazidi kuikimbiza dunia, huyu dada umwonaye hapa juu ni mwanafunzi wa chuo kikuu fulani(jina limefichwa).
Dada huyu alishikwa na butwaa kwa kitendo alichofanyiwa na rafiki yake.Rafiki yake anayeishi naye chumba kimoja hostel amezitupia picha za huyu dada mtandaoni kufuatia madai kwamba huyu dada amemwibia mpenzi wake (jina kapuni) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuoni hapa.
(Shiti..!) hebu oneni madai ya kijinga ya hawa wanafunzi tena wasomi wa chuo kikuu.
Taarifa
tulizo nazo ni kwamba picha hizi zilitupiwa mtandaoni mara tu ya rafiki
yake kupata taarifa kwamba anaibiwa mpenzi wake na huyo dada hapo juu
No comments:
Post a Comment