MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE YU HOI HOSPITALINI
Msanii wa bongo movies ambaye ni mzazi mwenzie na muimbaji wa dansi Chaz
Baba, Sajenti hivi majuzi alilazwa na alikuwa katika hali mbaya lakini
kwa uwezo wa Mungu na dua watu alifanikiwa kupona na sasa anaendelea
vizuri.Huyu ni Mmoja wa wasanii waliojitokeza hadharani Kumuombea apone haraka
No comments:
Post a Comment