MMMH...MAINDA WA BONGO MUVI KUFANYA MAKUBWA...!FUATILIA ZAIDI HAPA...
STAA wa filamu Bongo ambaye aliamua kuachana na
mambo ya dunia na kuokoka, Ruth Suka ‘Mainda’ amepania kufanya mambo
makubwa katika muziki wa Injili ili afike anga za kimataifa.
Akistorisha nasi, Mainda alisema kutokana na muziki huo kuonekana
kufanya vizuri zaidi nyumbani kuliko nje, yeye anataka afanye zaidi
katika levo za kimataifa.
“Naamini hakuna linaloshindikana kwa Mungu, isitoshe najikubali
kwenye sauti, sijaona mwimbaji wa Kwaya anayeweza kunifunika, nina uwezo
wa kuleta ushindani mkubwa katika fani hiyo na nitahakikisha
najitangaza ndani na nje ili kuipeperusha vyema bendera ya nchi hii,”
alisema.

No comments:
Post a Comment