MMMH..LULU ALIA KUKOSA KIDUME WA UKWELI...KISA?!SOMA ZAIDI HAPA...
Muigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’.
MKALI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt
Lulu’ amefunguka kuwa anasikitika kukosa bwana aliyeahidiwa na marehemu
Amina Ngaluma.
Akizungumza na paparazi wetu, Aunt Lulu alisema kabla marehemu Amina
hajapatwa na mauti nchini Thailand, alimuahidi kumtafutia bwana nchini
humo lakini mauti yalimkuta kabla hajamtimizia ahadi hiyo.
Marehemu Amina Ngaluma Enzi za uhai wake.
“We acha tu, aliniahidi kunitafutia mume baada ya kugundua
nasumbuliwa na wanaume kila wakati lakini ndiyo hivyo tena Mungu
akamchukua kabla hajanitimizia ahadi,” alisema Aunt Lulu.Amina alifariki mwezi uliopita nchini humo ambapo chanzo cha kifo chake kikielezwa kuwa ni uvimbe kwenye kichwa.


No comments:
Post a Comment