Mh. Saada Mkuya awasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya fedha mwaka 2014/2015
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya
Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na
matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma. Waliokaa
viti vya nyuma ni Manaibu Waziri Mwigulu Nchemba (kushoto) na Adam
Malima (kulia).(Picha na Wizara ya Fedha).
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya
Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na
matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment