MADENT WA VYUO KUTUPIAMO ZA UCHIII IMEKUA FASHENI SASA...!!JIONEE UJINGA WAO HAPA...
Hali ya mitindo ya mavazi kwa dada hapa nchini kwa sasa imekuwa gumzo
kutokana na baadhi yao kutumia vibaya uhuru tulio nao,kwa sasa kuvaa
nguo fupi na kutembea barabarani ni kitu cha kawaida.kutokana na hali
hiyo dada zetu wa vyuo mbalimbali nchini wamekuwa wakivaa mavazi hayo na
kupiganayo picha, ambapo kitu hicho kimekuwa kikiwaharibia sifa zao kwa
siku za hivi karibuni.
Na kutokana na tatizo hili wazazi wetu tunapaswa kuamka sasa na kulivalia njuga swala hili la watoto wetu kuvaa nguo fupi na kupiga picha za nusu uchi
Na kutokana na tatizo hili wazazi wetu tunapaswa kuamka sasa na kulivalia njuga swala hili la watoto wetu kuvaa nguo fupi na kupiga picha za nusu uchi

No comments:
Post a Comment