MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA NCHINI YAFANA CHUO CHA UKONGA DAR!
Askari akipiga nyundo tofali lililokuwa katika kichwa cha askari shupavu wa magereza.
Askari akiwa kabeba tofali linalovunjwa kwa nyundo huku chini kukiwa na kisu.

papii kocha wakitumbuiza katika sherehe hizo
papii kocha wakitumbuiza katika sherehe hizo
ASKARI
magereza jana walisherekea siku ya magereza katika chuo cha Ukonga Dar.
Maadhimisho hayo yalisindikiza na burudani mbalimbali ikiwemo gwaride
la askari, michezo ya judo na muziki.
Lengo
la maadhimisho hayo ni kuielimsha jamii kuwa gerezani si eneo la mateso
bali kujirekebisha na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo ufundi, kilimo,
ufugaji na fani nyinginezo .
Katika
maadhimisho hayo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe.
Mathias Chikawe ambapo katika hutuba yake aliahidi kupeleka ombi la
msamaha wa wafungwa kwa Rais Jakaya Kikwete kama walivyoomba wafungwa.
No comments:
Post a Comment