KIJANA ALIYEJIPIGA RISASI ARUSHA, MAMBO YA AJABU YATOKEA KABLA NA WAKATI AKIJIUA
Mapema
leo nilikupatia story kuhusiana na kijana matata Richard Mollel pesa
chafu ambaye amejipiga risasi Arusha, sasa nimepata muendelezo wa
matukio ya ajabu yaliyomtokea kijana huyo kabla ya kifo chake mpaka
alipojiua.
Yaani ndio nimetokea hapo kwake kwani ni ajabu kabisa.
Alikuwa
na girl friend wake kwenye gari kufika eneo la Mount Meru akagonga
Hiace kwa nyuma gari ikabonyea lakini yeye na mpenziwe wakatoka wazima
bint anadai baada ya dakika km 2 akahisi kizunguzungu akaanguka chini
kuja
kushtuka anaona watu wengi na kijana naye kutoka hapo akatimka mpaka karibu na nyumbani kwake ndio kujipiga risasi na kufa.
Sasa
binti anaulizwa mlikuwa na ugomvi anasema wala yeye mwenyewe anashangaa
kilichomkuta keshatoka mzima kwenye ajali kukimbia na kwenda kujiua.
Ni
kijana wa 86 yaani mdogo kabisa na ndio pesa imekubali na baba yake ni
mgonjwa yuko hoi muda huo yenyewe alikuwa amepigiwa simu na dada zake
aende kumuogesha maana ni mtoto pekee wa kiume na ndio alikuwa anaenda
sasa hawajui ni kitu gani kilimkumba kuamua kujiua.

No comments:
Post a Comment