Jini Kabula ayakana Mapenzi ya Baa....Asema kama unamtaka kimapenzi mfuate nyumbani
Sitaki tena....Ndivyo
unavyoweza kusema kutokana na kauli ya nyota wa filamu za
kibongo Mirium Jolwa "Jini Kabula" ambaye amedai kuwa kwa sasa
hataki kusikia mapenzi ya pesa na kama kuna mwanaume
anayemtaka basi amfuate nyumbani na si kuitana baa.....
Kabula
alisema kuwa wanaume wengi wamekuwa na tabia ya kuitana baa
huku wakihisi kuwa kila mwanamke ni mlevi kutokana na tabia
ya baadhi ya wasanii ambao wamekuwa wakijirahisisha kwa kupewa
pombe...
alisema kuwa wanaume wengi wamekuwa na tabia ya kuitana baa
huku wakihisi kuwa kila mwanamke ni mlevi kutokana na tabia
ya baadhi ya wasanii ambao wamekuwa wakijirahisisha kwa kupewa
pombe...
"Siwezi kuvua nguo eti kwa sababu ya pombe wakati hata mwenyewe naweza kukaa baa na kunywa kwa pesa zangu.
"Kama
kuna mwanaume anataka kutulia na mimi si lazima tukae baa
kwani kuna sehemu nzuri mnaweza kukaa na kuzungumza, nasema hivi
ili wale wenye tabia hizo waache kabisa," alisema
kuna mwanaume anataka kutulia na mimi si lazima tukae baa
kwani kuna sehemu nzuri mnaweza kukaa na kuzungumza, nasema hivi
ili wale wenye tabia hizo waache kabisa," alisema

No comments:
Post a Comment