Monday, 2 June 2014

JE WAJUA BEI YA KIATU HIKI CHA K-LYINN.....NI ZAIDI YA BEI YA VITZ










 







Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO  huko INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha  mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN..kiudaku





udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh kucheki bei yake
nikachoka mwenyewe...ni zaidi ya gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi
ndio wabongo wengi tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni
zaidi ya shilingi Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado
haujaletewa...Kumbuka hiki nikiatu tu, bado gauni,
pochi...nywele....nk...Dah huyu si anatembe na M-KUMI kabisa.... Jionee
mwenyewe hapa

Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii:


SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment