Raia mmoja was Hispania anayeishi nchini Marekani aliwaacha watu hoi baada ya kujikuta anatoa kicheko cha nguvu chenye mchanganyiko wa nyege na maraha ya ajabu baada ya kunyonywa maskio na muhudumu wa baa moja aliyokuwa amekwenda kupata kinywaji.
Jamaa huyo
anayependa sana mizaha na utani usiomipaka hata kwa watu asiowajua alimwita
muhudumu wa kike wa baa hiyo na kumwambia amletee wine.
Baada ya mhudumu
huyo kuleta wine jamaa alizidisha mazoea kwa dada huyo kwa kumshika kalio
matokeo yake mhudumu ilimpanda midadi na kuona sasa ngoja aanze kumshughulikia
japo kwa muda mfupi.
Dada huyo
alimkomesha kwa kumnyonya masikio kwa ufundi wa hali ya juu jambo lililomfanya
jamaa huyo ashindwe kuzuia hisia na kujikuta akitoa kicheko mithili ya zezeta
hali iliyowashtua watu waliokuwa wakipata vinywaji katika baa hiyo.
No comments:
Post a Comment