Thursday, 26 June 2014

HOMA YA KUWA NA MAKALIO MAKUBWA INAVYOTESA WANAWAKE.






Mwanadada Vanity Wonder ameamua
kuandika kitabu kusimulia kwa nini aliamua kutumia kiasi cha dola
15,000 kuchoma sindano za kukuza makalio.

 Vanity mwenye miaka 30 mama wa watoto wa wawili wa nchini Marekani kabla alikuwa mwembamba tu hana makalio.
Vanity Wonder




Anasema
wanawake wengi hufikia hatua hiyo sio kwa lengo la kuwavutia wanaume
bali kutoridhika na anachokiona kila anapojiangalia kwenye kioo.

 Vanity anavyoonekana sasa
baada ya kukuza hips na makalio.Anasema ameamua kuandika kitabu kuelezea
ukweli kwa nini aliamua kufanya hivyo.

Anasema kuwa kwenye process
wanawake wengi hupoteza maisha,hupata ulemavu wa kudumu na matatizo
mengi tu hutokea.Wanawake wengi kisa kamuona mtu fulani kafanikiwa
kukuza makalio hupata tamaa matokeo yake huenda kwa wataalam wa
vichochoroni kukwepa gharama.Matokeo ndio huwa vifo na ulemavu.
Shot Girls by Vanity Wonder is out now
Hiki ndio kitabu cha Vanity kinavyoonekana kwenye cover.

No comments:

Post a Comment