!
Tuzo za watu za Tanzania au Tanzania
People’s Choice Awards zimetolewa Ijumaa hii kwenye ukumbi uliopo Serena
Hotel jijini Dar es Salaam. Jumla ya vipengele 11 vilikuwa
vinashindaniwa. Mshindi katika kila kipengele ameibuka na zawadi ya
shilingi milioni moja pamoja na trophy. Host wa tuzo hizo alikuwa
mtangazaji mkongwe wa radio, Jimmy Kabwe.
WASHINDI
WASHINDI
1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
Millard Ayo – Clouds FM
2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA
Amplifaya – Clouds FM
3.MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
Salim Kikeke – BBC Swahili
4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA
Mkasi – EATV
5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA
Juma Kaseja – Yanga
6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA
Nisher
7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIUME
My Number – Diamond
8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE
Yahaya – Lady Jaydee
09. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
King Majuto
10. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
Elizabeth ‘Lulu’ Michael
11. FILAMU INAYOPENDWA

No comments:
Post a Comment