hatimaye MBASHA afunguka:mimi ni mtu maarufu, ningetaka mwanamke yeyote ningepata,iweje nibake? housi girl wangu ni mzuri kwanini nisimbake yeye...au mnataka nijiue?
Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha wakiwa kwenye pozi.
Upande
wa pili wa shilingi! Kwa mara ya kwanza tangu ahusishwe na skendo ya
ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, mume wa mwimbaji wa Injili
nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameibuka na kuzungumza katika
mahojiano maalum dhidi ya kashfa yake hiyo huku akitishia kujiua.
Akizungumza
kwa njia ya simu kwa zaidi ya saa moja mwishoni mwa wiki iliyopita huku
akikanusha kukimbilia mafichoni baada ya kuondoka nyumbani kwake
Tabata-Kimanga, Dar hivi karibuni, Mbasha ambaye pia ni mwimba Injili
kama mkewe, alianika kila kitu akidai cha siri kwamba anajua anachezewa
mchezo mchafu baada kuwepo kwa gogoro zito kati yake na mkewe hadi
kutishia uhai wa ndoa yao.
ASIMULIA TUHUMA
“Tuhuma zilizoripotiwa na binti aitwaye... (anamtaja jina) ambaye kweli ni ndugu wa mke wangu (Flora) kwenye Kituo cha Polisi Tabata-Shule (Dar) si za kweli.
“Anayefanya mambo hayo yote ni mke wangu, anataka nipotee ili awe huru. Mimi najua hilo.”

KASHFA YA KUTENGENEZA
“Hii kashfa ni ya kutengeneza ili nipotee lakini sipo tayari kupata aibu, bora nijiue.
“Mke wangu amekuwa tatizo kwenye ndoa yetu.

“Kweli
ndoa yangu na Flora ina matatizo lakini matatizo yetu ya ndani sana
hakuwa na sababu ya ‘kuinjinia’ mpango mchafu wa kunimalizia gerezani
mimi ili yeye aponde raha.
“Nyuma ya haya mambo kuna vitu mtu ukivisema ni aibu sana kwa upande wa pili. Lakini navijua.”

MKE ALIONDOKA NYUMBANI
“Mke wangu aliondoka nyumbani na kwenda kuishi hotelini. Hebu fikiria hapo. Mwanzo alianza kwenda ‘gym’ saa 11:00 alfajiri na kurudi saa 4:00 asubuhi. Pia saa 10:00 jioni aliondoka tena kwenda gym akawa anarudi kati ya saa 3:00 hadi 4:00 usiku.

“Nilipomuuliza
alinijibu kuwa ni kwa sababu anatembea umbali mrefu. Hebu ona sababu
ilivyo dhaifu jamani! Hata kama ungekuwa wewe mwandishi, unaonaje?”
“Mimi ni mtu maarufu, ningetaka mwanamke ningepata, iweje nibake?

“Hausigeli wangu ni mzuri, kwa nini nisimbake yeye?”
AFUATILIA
“Nilipofuatilia niligundua tayari kuna tatizo kwenye ndoa yetu. Mdudu alikuwa ameingia ndani ya ndoa kwani hadi sasa mke wangu siishi naye. Anaishi hotelini.
“Anachokifanya mke wangu ni kitu kibaya mno. Alimtengeza yule binti ambaye nilikuwa namsomesha sekondari pale (anataja shule maarufu Dar), akampa semina ya kutosha kwamba aseme nimembaka ili nipate misukosuko na yeye awe huru.

“Kama
hiyo haitoshi, akala dili na madaktari, wakafoji majibu ya vipimo
vikionesha kweli yule binti ameingiliwa, sasa sijui kama vipimo
vilioneshaje kama ni mimi.
“Ukweli ni kwamba siwezi kuvumilia kuona napandishiwa kizimbani kwa jambo la kutengenezewa.
“Napiga picha nitakapofikishwa mahakamani jinsi ambavyo vyombo vya habari vitakavyoandika na picha zangu kwa kesi ya ubakaji ambayo si ya kweli.

HAYUKO MAFICHONI
Kuhusu kuwa mafichoni, Mbasha alisema: “Sipo mafichoni, sijaambiwa na mtu yeyote nikatoe maelezo polisi. Nipo nimejaa tele, nikiambiwa nahitajika nitakwenda kutoa maelezo yangu kwani sijawahi kutenda kosa hilo na Mungu awe shahidi yangu.”

Kamanda
wa Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Dar, Marietha Minangi alithibisha kuwepo
kwa ishu hiyo na kwamba uchunguzi wa kina unaendelea.
Flora na Mbasha walifunga ndoa Agosti 22, 2002 hivyo mwaka huu wametimiza miaka 12 wakiwa pamoja ambapo mtoto wao wa kwanza anaitwa Elizabeth.

No comments:
Post a Comment