Saturday, 7 June 2014

DKT SHEIN AFUNGUA MADRASA QAMARIA,MATEMWE UNGUJA.



DKT SHEIN AFUNGUA MADRASA QAMARIA,MATEMWE UNGUJA.


  Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed Shein (kushoto)
akisalimiana na Sheikh Yakob Mfadhili wa Madrasa Qamaria wakati
alipowasili katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo kuifungua rasmin Madrasa hiyo.
 Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kuashiri  ufunguzi wa Madrasa Qamaria katika
kijiji cha Kijini Matemwe Kaskazini Unguja leo,madrasa hito iliyojengwa
na Jumuiya ya ALFATAH ambapo itawanufaisha watoto wa kijiji hicho
kujipatia Elimu ya Qurani na hadith mbali mbali,(wa kwanza kulia)
mwenyekiti wa CCM Mkoa Kaskazini Mhe,Haji Juma Haji na Mkuu wa Mkoa huo
Mhe, Pembe Juma Pembe .
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali
Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Alfatah Rashid Salim,ambayo imejenga madrasa Qamaria katika kijiji cha
Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakati  alipotembelea vyumba vya
  Madrsa hiyo baada ya kuifungua rasmi leo
 Baadhi ya wanafunzi wa Madrasa Qamaria ya Kijiji cha Kijini Matemwe  Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed Shein,alipokuwa
akitoa nasaha zake kwa wananchi na wanafunzi hao ,katika suala zima la
Elimu ya Quran,baada ya kuifungua rasmi madrasa Qamaria iliyojengwa kwa
usimamizi wa Jumuiya ya ALFATAH,ufunguzi huo ulifanyika leo.
 Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Kabi,alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed Shein (kushoto)
kuzungumza na wananchi na wanafunzi wa madrasa Qamaria ya Kijiji cha
Kijini Matemwe Mkoa wa kaskazini Unguja baada ya kuifungua leo,(kutoka
kulia) Mfadhili wa Ujenzi Sheikh Yakub ,Katibu wa Mufti Sheikh Fadhil
Suleiman Soraga na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini U
nguja Mhe,Haji Juma Haji.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed Shein (wa tatu
kushoto) pamoja na Viongozi wengine na Mfadhili ujenzi wa Madrasa
Qamaria Sheikh Yakub (kulia) wakiitikia Dua iliyoombwa baada ya
kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa madrasa Qamaria katika Kijiji cha
Kijini Matemwe Mkoa wa kaskazini Unguja leo

No comments:

Post a Comment