CHATU MWENYE MAANDISHI YA QURAN AKUTWA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA MWENYEWE AAMURU ASIULIWE.
UTAJIRI UNA MAMBO! Tukio limetokea Sakina asubuhi hii Leo 5.6.2014....
nyoka mkubwa (pembezoni kulia mwa jagi lenye Ua) akutwA nyumbani kwa
Tajiri mmoja akiwa amefungwa kitambaa chenye maandishi ya Quran, akitoka
kwenye GOROFA La tajiri huyo ambaye yupo safarini kwa sasa , watoto
wakapiga kelele watu wakajazana, Watoto wakampigia Baba yao simu Baba
akawakataza Kata-kata Wasimuue! Mwenye nyumba naskia anaitwa Magesa ana
kampuni ya clearing and fowarding nasikia ana hela balaa.
Nyoka huyu mara baada ya kuuwawa. sijui itakuwajeee ����






No comments:
Post a Comment