STAA wa
filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaasa Waislamu wote kumrudia Mungu
katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama atakavyofanya yeye ambapo
atauanzia mfungo Bongo na kumalizia Dubai.
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel
Akizungumza na paparazi , Aunt alisema ameamua kufunga Ramadhani nchini
na kumalizia Dubai kama ishara ya kumkumbuka mumewe aishie Dubai.
“Kama mnavyojua mume wangu yupo kule achana na maneno yote yanayosemwa
juu ya mume wangu lakini ukweli ni kwamba yeye anaishi kule hivyo lazima
nikamalizie huko mfungo,” alisema Aunt.
No comments:
Post a Comment