ANGALIA PICHA TEMBO HUYU MWENYE HASIRA KALI ALIVYOTOA KIPIGO CHA NGUVU KWA KIBOKO
" Hapa
kimenuka asije nigeuzia na mimi Kibao maana dah maza anapewa kichapo cha
hatari" Ni kama mtoto Kiboko alikuwa akiondoka huku anatingisha kichwa.
" Sasa
nakwambia ondokaa fastaa ..... ukiendelea kubaki nakuanzishia kama
mwanzo" Tembo huyu alionekana kama anamwambia Kiboko huyo.
"Tena
waambie na hao viboko wenzako nitawatandika ..... " alionekana kama
anamwambia kiboko yule aliyekuwa akimpiga "Kimbieni nyiee .....
kimbieniiiii..... atawamaliza! !"
Hapa kichapo tuu...... Dah hiiii ilikuwa ni kashesheee......
No comments:
Post a Comment