AJALI: ROLI LAPINGUKA KATIKA DARAJA katika barabara ya Banana-Kinyerezi maeneo la Tabata
Semi-Trela
likiwa limebeba kontena likiwa limeanguka baada ya kulielemea kwa
uzito na kulivunja daraja la chuma katika barabara ya Banana-Kinyerezi
maeneo la Tabata jijini Dar es salaam jana jioni.
Haikuweza
kufahamika mara moja lilikuwa limebeba mzigo gani na kama dereva
alikuwa anajua daraja hilo ni kwa magari yenye uzito wa wastani wa tani
7 tu au ni kiburi tu.
Hakika
Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na jeshi lake wana kazi ya
ziada kuhakikisha uzembe kama huu hautokei na haujirudii.
No comments:
Post a Comment