WAZIRI WA MAMBO YA NJE UTURUKI AKUTANA NA RAIS DKT SHEIN LEO
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi wa Uturuki
Mhe,Ahmet Davutoglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe
aliofuatana nao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment