Warembo wanaoshindania Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa kwenye ukumbi wa Dar West Park
Warembo wanaoshindania Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa kwenye ukumbi wa Dar West Park
Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa
mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe
06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye
ukumbi wa Dar West Park.
Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye
shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa
mazoezi.
Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa
watokelezea kwenye pozi tofautitofauti wakati wa mazoezi yanayoendelea
eneo la Tabata Dar West Park.
Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa kwenye mazoezi.
Mwalimu akimwelekeza mmoja wa warembo wakati wa mazoezi
No comments:
Post a Comment