Wednesday, 28 May 2014

UNAAMBIWA KUWA HUYU NDIYE KINARA WA KUSAFIRISHA MABINTI KUTOKA TANZANIA KWENDA INDIA......MTAZAME HAPA



UNAAMBIWA KUWA HUYU NDIYE KINARA WA KUSAFIRISHA MABINTI KUTOKA TANZANIA KWENDA INDIA......MTAZAME HAPA





Wakifika India hunyang'anywa passport mpaka watakapomaliza kulipa $ 4000

Wengine hulazimishwa kufanya kinyume na maumbile

tumefanikiwa kupata Chats za Whatsapp



Iko
hivi, kama binti anataka kuja huku india ye yuko Tanzania anaunganishwa
na Shumy halafu Shumy anatumiwa picha za mabinti sasa hapo inategemea
na uzuri wa binti,maana Shumy anasafirisha mabinti wakali tu,then Shumy
akiwapenda anawatumia pesa ya VISA kwa ajili ya hao mabinti ambayo ni
70,000 za kitanzania kila mmoja,halafu wakishapata Viza anakata ticket
huku India then anawatumia kwa E-mail wanaprint Tanzania halafu
wakifikia India wananyang'anywa passport mpaka watakapomaliza kulipa
deni la $ 4000,na kazi wanayofanya ni kujiuza mitaa ya India na
akimaliza kulipa deni anarudishiwa passport yake na anakua huru kuamua
anarudi Tanzania au anabaki huku,asilimia kubwa wanabaki huku na
wanaolewa ndoa zisizo rasmi na wanigeria,wakongo ama raia wa nchi
zingine maana wahindi wao wanaoana wao kwa wao.Na kwao huko Tanzania
wanajua mabinti wamekuja kutafuta kazi wengine wanadanganya wanakuja
kusoma,na hata wale wanaokuja kwa nia ya kusoma pia nao wamo katika hili
la kujiuza,chanzo hicho kilisema.




Chanzo
chetu kiliongeza kua "Hakuna ambae yuko India hajui hiyo biashara ya
mabinti kusafirishwa kuja kufanya umalaya huku na wengine hutoka bila
kutumia kondomu na wengine walishawahi kupata mimba"

No comments:

Post a Comment