TUNAOMBA RADHI WAPENZI WETU WA PAPARAZI KWA PICHA HIZI:MAUAJI YA KUTISHA YAZIDI KUITIKISA KAHAMA......KIKONGWE MWINGINE AUAWA KISA IMANI ZA KISHIRIKINA !!!!
Mauaji ya kutisha
yamezidi kuitikisa kahama baada ya Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wa
kijiji cha BUSULWANGILI Kahama Shinyanga kuuawa kwa kukatwakatwa
mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia nyumbani kwa
marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.
Tukio hilo limetokea
katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga jana saa 19:00
nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia watu hao walimjeruhi
kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga....
Marehemu Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga



No comments:
Post a Comment