TAZAMA PICHA ZA JANA PICHA ZA MAZISHI YA MSANII RECHO HAULE NA MWANAYE KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.
Wasanii wa Bongo Muvi kutoka kushoto Ant Lulu akiwa na wenzake.
Watumishi wa Mungu katikati wakifanya maombi baada ya maziko.
Mchumba wa marehemu George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Rachel na mwanae
Msanii Blandina Chagula 'Johari' akiweka mchanga
Mjomba wa marehemu, Evance Haule (kushoto) akiweka mchanga katika kaburi la marehemu.
Ndugu wa marehemu wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Recho Haule.
Mafundi wakichanganya zege.
Mafundi wakisawazisha zege PICHA NA V_SKILLS AFRICAN BOY











No comments:
Post a Comment