Wednesday, 28 May 2014

TAZAMA GARI NA NYUMBA MBILI ZA KIFAHARI ANAZOMILIKI MASANJA MKANDAMIZAJI !!!! NOMA SANA….



TAZAMA GARI NA NYUMBA MBILI ZA KIFAHARI ANAZOMILIKI MASANJA MKANDAMIZAJI !!!! NOMA SANA….

Masanja-Mkandamizaji-Mali-zake-vibe-co-tzMasanja
Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo
wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na
Kundi la Original Comedy.

Masanja-Mkandamizaji-vibe-co-tz

 Wakati
anaanza maisha masanja alikua akikaa kwenye   ‘geto’ lake  maeneo ya
Tabata Aroma huku akilipa kodi ya TSh. 5,000 kwa mwezi lakini hii leo
masanja anamiliki nyumba mbil iza ukweli huku moja ikiwa ni ya ghorofa
maeneo hayohayo ya Tabata  na pia anamiliki magari kama Toyota Land Cruiser V8 ma mengine.

No comments:

Post a Comment