SIO DAYNA TU ANAYEJICHUBUA, MCHEKI HUYU STAR KUTOKA MAREKANI ALYEJICHUBUA NAE.
Lakini nilipokutana na picha hii mwenyewe nimebaki nashangaa, Kim kama
nilivyowahi kuripoti kwa sasa ni mja mzito, na katika picha hii
anaonekana akitembea katika mitaa ya New York akiwa na mimba kubwa,
lakini huwezi kuamini kama ni Kim.
Kim anaonekana kama mdada wa kizungu na wala si mweusi tena kwa rangi
yake ya ngozi imezidi kuwa nyeupoa ukiacha upasuaji wa uso na pua
alizozifanya
CREDIT : DJ FETTY


No comments:
Post a Comment