SABABU ZA WANAWAKE KUVAA NUSU UCHI HIZI HAPA
1: Kongeza thamani ya uzuri wao, wanawae wengi huvaa nguo zinazo acha
wazi baadhi ya sehemu za miili yao kama mapaja, tumbo, mgongo nk ili
uongeza mvuto kwa wanaume.
2: Kutafuta attention, wanawake wengine hupenda kuangaliwa au uwa gumzo
kwa watu hivyo huamua kufanya kitu ambacho kitavuta hisia za watu wengi
ndio maana baadhi ya huvaa nusu uchi
3: Kusifiwa, wnawake wengi hupenda kusifiwa kuwa ni wazuri au sehemu
fulani ya mwili wao ni nzuri na inavutia hii huwafanya wanawake wengi
kufanya sehemu hizo zinazosifiwa kuwa wazi inaweza kuwa miguu, matiti,
kitovu nk


No comments:
Post a Comment