Wednesday, 28 May 2014

PAPARAZI: Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 28 May 2014 YAS...


Picha Na Info, Weusi Watambulisha Bidha Mpya Mtaani.




Weusi ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wanaojua kutumia jina na
kazi zao kujiingizia kipato zaidi nje ya muziki. Awali kwenye video ya
Gere tuliona nguo na mavazi tofauti ikiwa ni awamu ya kwanza ya ubunifu
wa vijana hawa na jinsi wanataka kuteka wateja wao. Jipya kutoka weusi
sammisago.com napenda kukufahamisha kuwa vijana hawa wametambulisha
miwani za weusi zenye Neno GERE, yani upande wa kushoto ni GE Nakulia ni
RE Kwenye miwani hizo.


Miwani hizi zitaingia sokoni Kuanzia May 29 2014. Joh Makini anasema
ni ubunifu wa rafiki anayeishi na kufanya kazi zake Arusha, aliwakilisha
ubunifu na wazo lake likakubalika na wanafanya nae kazi. Bei ya miwani
itatajwa siku yeyote sasa.


Miwani hizi zimeongezeka kwenye orodha ya bidha za weusi vikiwemo Top za kike, Kofia, Tracksuit na T Shirt.


weusi 2 weusi 4 weusi 7 weusijoh 2


No comments:

Post a Comment