Saturday, 31 May 2014

Ommy Dimpoz asema Instagram ilimpatia mchumba..MUONE HAPA!! USIPITWE



Ommy Dimpoz asema Instagram ilimpatia mchumba..MUONE HAPA!! USIPITWE

OOmmy Dimpoz amefunguka na kudai kuwa mitandao ya kijamii imempa mke mchumba.






915559_591874717578603_1984267566_n

Mrembo wa Ommy Dimpoz





Ommy
amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa yeye na msichana huyo
waliweza kukaa kwa muda wa mwaka mmoja wakichati bila kuonana.


“Social
network zilisaidia kutuunganisha lakini matokeo yake mpaka tukaja
kuonana. Mpaka nikaja kwenye tour tukaonana, si unajua kuna zile mzee
unashangaa ma Instagram mtoto ka like picha kama tisini hivi, halafu
ukichekecha unaona mbona kama umechorwaee ,bahati nzuri ilipoanzishwa
instamessage kwahiyo kama unajiiba hivi. 




Ni
Mtanzania, mpaka kuonana ilichukua kama mwaka, tumechat tumechat mpaka
ikafikia time, sina haraka kwanini niwe na haraka, kuamiana kunakuja
automatically,” alisema.




“Unajua mambo ya mapenzi Mungu mwenyewe ndio anajua, pengine wengine anaweza wewe ukawa muuza mkaa demu akaja kununua mkaa. 



Lakini
lile kopo unavyolishika kimachejo wakati wa kupima yeye anapenda ule
upimaji wako, kwahiyo kuna kitu kama hivyo haijalisha mnakutana wapi,
ikiwa tu mmewekea mipaka yenu, masharti hivi na hivi maisha yenu
yanaenda.”

No comments:

Post a Comment