Masogange tunamsingizia jamani....Kwa mara ya kwanza kutana na Matilda Hipsy
Hatari sana... leo tunatembea bara zima kutafuta MIZIGO MIZITO...Huyu ni
Matilda Quaye aka Matilda Hipsy kutoka Ghana... Waghana wengi
wanamfahamu vizuri...Mara kadhaa amekuwa akisababisha foleni za magari
kila atembeapo babarani...Askari wa barabarani nchini Ghana
walishamuonya mara kadhaa juu ya swala hilo....Hehehe...Inasemakana jina
hili la Matilda Hipsy alipewatoka utotoni (wazazi wana macho) ...PATA
ZAKE TANO KWANZA

No comments:
Post a Comment