Thursday, 29 May 2014

NDOA YA WASANII WA KAOLE YAJIBU:Kalunde ajifungua mtoto wa kike

NDOA YA WASANII WA KAOLE YAJIBU:Kalunde ajifungua mtoto wa kike

Msanii wa filamu zao la Kaole, Mariamu Athuman ‘Kalunde’ akiwa na mwanae aliyejifungua hivi karibuni.

WASANII wa filamu zao la Kaole, Mariamu Athuman ‘Kalunde’ na Khely Ahmed ‘Niko’ ndoa yao imejibu ambapo hivi karibuni wamepata mtoto.

 Kalunde alisema ana furaha ya ajabu kufuatia kumpata mtoto wa kike na anamshukuru Mungu kwani alijifungua salama bila matatizo.

“Namshukuru Mungu sana kwa kutupatia mtoto wa kike mimi na mume wangu, huyu mtoto ameongea furaha ndani ya ndoa yetu kwani ameongeza familia,” alisema Kalunde.

No comments:

Post a Comment