MBARONI KWA KOSA LA KUTUPIA PICHA ZA UCHI ZA EX-GIRLFRIEND WAKE MTANDAONI
Kijana mwenye umri wa miaka 26 amejikuta akitiwa Mabaroni kwa kosa la
kuchukua picha za mpenzi wake (ex girlfriend) na kuzimimina katika
mtandao wa Facefacebook.

Binti aliyefanyiwa uchafu huwo na kijana huyo aliyefahamika kwa jina la
David Dickson amedai kuwa alichukua uamuzi wa kuachana na mwanaume huyo
kwasababu alitoka kimapenzi na rafiki yake wa karibu. Alisema kuwa baada
ya kuamua kuchukua uamuzi wa kuachana naye, kijana huyo akaona atumie
nafasi kuonesha umwamba wake baada ya kumbembeleza warudiane pasipo
mafanikio.

Kwa mujibu wa mahakama, inasemekana kuwa picha za utupu zilizowekwa na
mwanaume huyo kwa namna moja ama nyingine zinatumiwa na watu wengine na
kuzidi kuzieneza. Kwa maantiki hiyo, mahakama inatoa onyo kwa watu wenye
tabia kama hiyo kwasababu ni udhalilishaji wa kijinsia na inasababisha
wanaofanyiwa vitendo kama hivyo kuathirika kisaikolojia.

Kwa mujibu wa wakili wa kesi hii, mtuhumiwa na mlalamikaji ni wapenzi
kwa muda wa miaka miwili. Lakini kutokana na kitendo cha mtuhumiwa
kufanya mapenzi na rafiki wa mlalamikaji amabye alikuwa ni mpenzi wake,
Uhusiano huo ukavunjika.

Wakila alisema kuwa mlalamika alipigiwa simu na rafiki yake akimtaka
afungue mtandao wa Faceboo na WatsAp ili kuangalia kilichokuwa
kinaendelea.
Mlalamikaji alifanya kama rafiki yake huyo alivyomsihi. Alijikuta
akibaki mdomo wazi na kufadhaika baada ya kukuta picha zake za utupu
zikipepea mtandaoni. Mlalamikaji alipompigia simu David na kumuuliza juu
ya kile kile kilichotokea, David alikiri kuhusika na tukio lile huku
akidai kuwa aliamua kufanya vile ili kumchafua asiweze kuwa na mwanaume
mwengine zaidi yake yeye.
Malamikaji alikwenda kutoa taarifa hizo katika kituo cha polisi, na mtuhumiwa akatiwa mbaroni mara moja.

Kwa mujibu wa wakili, anaeleza kuwa inaonekana mtuhumiwa David anampenda
sana mpenzi wake, na baada ya kuachwa hakuwa anaelewa kitu ambacho
kingetokea mbeleni.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA CHINI

No comments:
Post a Comment