Tuesday, 27 May 2014

KAMA SURA MBOVU NI MBOVU TU!! KAJALA AUMBUKA, KAMERA ZA V-SKILLS AFRICAN BOY... ZA MNASA BILA MAKE UP, TAZAMA UCHEKE HAPA !!



KAMA SURA MBOVU NI MBOVU TU!! KAJALA AUMBUKA, KAMERA ZA V-SKILLS AFRICAN BOY... ZA MNASA BILA MAKE UP, TAZAMA UCHEKE HAPA !!









MASTAA wetu Bongo ukimtokea ghafla na ukataka kumpiga picha bila kujiremba unaweza kumuua kwa hofu, siku za karibuni kamera ya


V-SKILLS AFRICAN BOY

ilimkosesha raha nyota wa filamu Swahiliwood Kajala Masanja pale
alipokutana na mpiga picha wetu na kutaka kumpiga picha kama sehemu ya
kumbukumbu katika matukio, msanii huyo alizuia huku akilalamika.




“Aaah
sitaki jamanii unanipigaji picha hivi hata sijajiandaa jamani, nipo
rafu sipendi ukipiga picha angalau uwe smart, usinipige picha sitaki
sitaki sijajiandaa picha zitakuwa mbaya please usifanye hivyo,”anasema.




Utafiti unaonyesha kuwa mara

nyingi
nyota wa filamu wamejenga tabia ya kujiandaa kwa kujipodoa wakiwa wapo
location au wakifanya mahojiano na wanahabari, hivyo kuwa na muonekano
tofauti na wanavyokuwa na isha ya kawaida wakiwa katika mishemishe zao 






No comments:

Post a Comment