Tuesday, 27 May 2014

JUA SABABU TANO ZA KUKAUKA KWA UKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI



JUA SABABU TANO ZA KUKAUKA KWA UKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI


Swala
la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida
kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia
kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-
 
  1. Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao lake la kwanza, inategemea
    lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au
    kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda
    kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi wake ni wajibu
    wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali
    na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika na
    kadhalika.
  2. Mwanamke
    kuwa na uwezo mdogo wa kungonoka (low sex drive/libido) ni wazi kuwa
    hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga
    bao la kwanza kisha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa
    mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi ujao.
    Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfaya aendelee kuwa
    "interested" kiakili nakimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa
    kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.
  3. Mwanamke
    kutokuvutiwa na ufanyaji wako, kama ulivyosema kuwa ilikubidi uache
    nje-ndani, swala l a kungonoana ni pana na sio kusimamisha kisha kupiga
    nje-ndani mwanzo mpaka mwisho >>( Kuna wanawake kibao baada ya
    kibaruti cha kwanza inabidi uanze upya kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA.
    Dawa yake kwa wengi usikazanie NJe ndani Nje ndani sana kama
    ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au msondongoma katika mduara bila
    kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA mambo mengine! Baada yamuda kadhaa
    wakati unahisi au unasikia pumzi fulani ndio endeleza pupa kama
    navyohisi unafanya. Hii hasa kama unacheza mkao wa kimishenari
    ).<<
  4. Mwanamke
    kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara
    baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka (baada ya yeye kufikia
    Mshindo), mwanamke kama hana mapenzi huishiwa hamu ya kuendelea
    kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la kwanza.
  5. Kuchoka
    au Uvivu, mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni
    hujitokeza kwa vile akili yake inakuwa haipo/haizingatii
    kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata nafasi ya kwenda
    kulala/pumzika.
    Condom
    huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au
    kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya
    bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile
    hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom
    kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea
    mwanamke raha ya tendo.
    Condoms
    hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya
    mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.Ili
    ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye
    akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye
    kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba
    kabisa.

No comments:

Post a Comment