JE WAJUA KWANINI WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA??? SOMA HAPA KUJUA SABABU HIZO
NI
matumaini yangu muwazima na mlikuwa na wakati mzuri katikakumalizia
weekend. Mimi niko poa kabisa tayari kuliendeleza libeneke la kupeana
mambo mawili matatu kuhusiana na maisha yetu ya kimapenzi.
Mada
ambayo nataka kuizungumzia leo ni juu ya sababu za baadhi ya wanaume
kupenda au kudatishwa kimahaba na wanawake wenye makalio makubwa.
Katika
siku za hivi karibuni, tumeshuhudia idadi kubwa ya wanawake wakitumia
njia mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa. Wapo ambao
wamekuwa wakitumia dawa za Kichina licha ya kuelezwa kuwa zina madhara.
Ukijaribu
kuzungumza nao, wengi wanasema wanatafuta soko kwa wanaume wakware.
Wanaosema hivyo ukiwafuatilia ni wale ambao wamekaa kibiashara zaidi.
Yaani wapo sokoni kuwinda wanaume.
Lakini
sasa inafika wakati kila mmoja anajiuliza, ni kipi kinachowavutia
wanaume wengi kwa wanawake waliofungashia ambacho hakipo kwa wanawake
wembamba?
Tunataka
kusema wanawake wenye ‘mizigo’ wana soko kubwa kuliko wembamba? Sitaki
kwenda huko kwa leo kwa kuwa kuna makabila ambayo mwanaume mwenye kalio
kubwa na mahari yake inakuwa kubwa kuliko mwenye nalo dogo.
Ninachotaka
kukiweka wazi hapa ni sababu za baadhi ya wanaume kupenda kuingia
kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanawake waliojazia. Hizi nimezipata
baada ya kuongea na baadhi ya wanaume.
Kusaka umaarufu/sifa Katika hili inadaiwa baadhi ya wanaume wanapokuwa
na wapenzi wao waliojazia hujihisi wako juu kwa wenzao. Ndiyo maana
unaweza kumsikia mwanaume akijisifia ‘niko na mzigo wangu hapa, si
mmecheki kifaa’. Maneno hayo yanaashiria kuwa baadhi ya wanaume
wanapokuwa na wanawake waliojazia, wanaona fahari kusifiwa na wanaume
wenzao. Yaani hilo tu mioyo yao inafarijika. Kile kitendo cha kila
wanakopita kuacha gumzo wengi wanakifurahia.
Hofu ya kukimbizwa mchakamchaka
Wanawake wenye ‘mizigo’ wanatajwa kudatisha wanaume sana kimahaba lakini
baadhi yao wanadaiwa kuwa dhaifu kwenye uwanja wa kujidai.
Iko hivi, baadhi ya wanawake wembamba wanadaiwa kujifanya ni watundu
sana. Wanatumia muda mwingi kukukuruka kitandani ili waonekane wanayajua
mambo.
Baadhi ya wanaume hawapendi hivyo na wanahofia kukimbizwa mchakamchaka
faragha na ndiyo maana wanaona ni bora kujichukulia mizigo. Ila ni
ukweli kwamba kuna mademu wengine waliojazia ambao ni noma.
Urahisi wa kupata stimu
Wanawake wanene wana joto sana, miili yao inadaiwa kuwa kichocheo kikubwa sana cha kuamsha hisia za kimapenzi kwa mwanaume.
Ndiyo maana wapo wanaume wengine bila hata kufanya mapenzi hujikuta wakiridhika na ile kutalii tu miili ya wapenzi wao wanene.
Ni wepesi wa kutosheka
Inaelezwa kuwa, idadi kubwa ya wanawake wembamba mpaka kuwaridhisha
inahitaji kazi ya ziada. Hii ni kwa sababu baadhi yao wana sarakasi
nyingi na hawakubali kuonekana ni watupu.
Hata hivyo, baadhi ya wanawake wanene wanatajwa kuridhika haraka na siyo
watu wenye makuu kwenye ulingo kiasi kwamba ni wachache sana wanaoweza
kuonesha umwaba ulingoni.

No comments:
Post a Comment