Thursday, 29 May 2014

JANA P.FUNK ATEMBELEA KABURI LA NGWEA

P-FUNK MAJANI
P-Funk Majani ameongoza msafara wa watu mbalimbali mashuhuri kwenda Morogoro kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Albert Mangwair. Tazama picha hizi za producer huyo akiwa na watu wengine kwenye kaburi la Ngwair.
P-FUNK MAJANI

P-FUNK MAJANI

P-FUNK MAJANI

No comments:

Post a Comment