Hii Aibu sasa~Hizi picha 8 za Lady JayDee za jarida la VIBE zinazoleta utata, vitovu nje mara vichup lol, tazama hapa
Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo
Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbali Judith Wambura aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye jarida la VIBE.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.

PICHA ZOTE AKIWA NA VICHUP B0NYEZA HAPA CHIN FASTAA
lol
Picha hizo zimesababisha wengi kutaharuki kutokana na mavazi ya ubondia aliyo vaa LayJay Dee tofauti na ilivyo zoeleka kuonekana na mavazi ya kisanii au kuchezea kareti.

No comments:
Post a Comment