GALA DINNER YA AFRIACAN DAY WASHINGTON, DC
Balozi
wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali akiwa kwenye gwaride la
bendera wakati hafla ya gala dinner ya African Day iliyofanyika
Washington, DC siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott na
kuhudhuriwa na watu zaidi ya 2,000. Afriacam day ya mwaka huu
iliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania wakishirikiana na Ubalozi wa Rwanda
Balozi
wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akiwa kwenye
gwaride la bendera wakati wa ufunguzi wa Gala dinner ya African Day siku
ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott, Washington, DC.
Mabalozi wakisimama kwa nyimbo za taifa za Marekani na African Union.
Balozi
wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akitoa hotuba ya
kuwakaribisha wageni siku ya Jumanne May 27, 2014 siku ya African day
iliyoadhimishwa Marriott ya Washington, DC.
Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mhe.Mathilde Munkanabana nae akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni.
Balozi wa kudumu wa African Union, Mhe. Amina Salum Ali akitoa hotuba.
Meya wa DC, Mhe.Vincent Gray akitoa hotuba.
Meya
wa DC, Mhe. Vinceny Gray akimkabidhi hati ya baraza la jiji la DC
Balozi wa kudumu wa African Union, Mhe. Amina Salum Ali ya Jiji la
Washington, DC kutambua rasmi siku ya African Day.
Meya katika picha ya pamoja na waheshimiwa Mabalozi wa Rwanda, Tanzania na African Union.
Mwakilishi wa Serikali ya Marekani Mhe. Linda Thomas Greenfield akitoa hotuba.
No comments:
Post a Comment