CRAZY VIDEOZ U MUST WATCH: MASTAA WETU WA KIKE HUKO INSTAGRAM - JOKATE, PENNY NA LULU
Hizi ni SHOT KLIP za video ambazo mastaa wa kike wa hapa bongo
wameziachia huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM kwaahili ya ma-Fans wao....Jokate Mwegelo aka Kidoti, (anaonyesha mashauzi yake nakuzugumza KIZUNGU-Mimi sijui wewe msikilize tu)..Elizabeth Michael aka Lulu (Huyu mtoto kama kawa anapenda mziki huyo-humu anaimba na kuchezesha kishwa kwa mbwembwe akiwa na tabasamu TAMU....Penny
(Huyu ana kupiga KISS na anakwambia uwafuate walipo -yupo na rafiki
yake-Kwaunde wangu hii mimi ndio nimeipenda)....ENJOY UDAKU mtu wangu...
No comments:
Post a Comment