George Tyson akimlisha keki Yvonney Chery ‘Monalisa’ wakati mtoto wao Sonia alipopata kipaimara.
George Tyson enzi za uhai wake.
Marehemu Tyson akiwa na Monalisa (kushoto), kulia ni Tyson na mwanae Sonia.
Monalisa akimnywesha kinywaji Tyson wakati wa kipaimara cha Sonia.
NI pigo tena kwa tasnia ya Bongo Muvi, mwongozi filamu Bongo na aliyekuwa mume wastaa wa filamu Bongo, Yvonny Cherry 'Monalisa', George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari eneo la Morogoro akitokea mkoani Dodoma.
Tyson
alikuwa ameambatana na watu kadhaa katika safari hiyo. Kupitia ukurasa
wake wa Instagram, Monalisa amemlilia Tyson kwa kuandika yafuatayo:
No comments:
Post a Comment