BAADA YA KUAMBIWA ANAJICHUBUA, HIKI NDO ALICHOKISEMA MSANII HUYU.
"Kwa wale wanafiki wanaosema madam Sabby Angel napaka mkorogo kuwa mweupe picha hiyo hapo ya nikiwa mdogo sasa ! acheni unafiki kwa mambo msioyajua, kama una tatizo na Sabby kasage chupa unywe, tafuteni lingine la kusema mahasidi vidudu watu, msione mtoto wa watu napendeza na kufanikiwa, Sabby Angel ni original African beauty na sio copy and paste kama mlivyozoea, mapepo nyie mshindwe
CREDIT : SWAHILI PLANET
![]() |
| Sabby Angel |


No comments:
Post a Comment