Monday, 17 March 2014

RAY C a.k.a KIUNO BILA MFUPA ASAMBAZA PICHA ZAKE HUKU ZIKIONYESHA LIPS NA MAPAJA.ZICHECK HAPA!!



RAY C a.k.a KIUNO BILA MFUPA ASAMBAZA PICHA ZAKE HUKU ZIKIONYESHA LIPS NA MAPAJA.ZICHECK HAPA!!








 Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C amepotea
katika anga ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya
matumizi ya madawa ya kulevya na baada ya kupata tiba sasa mambo
yanaonekana kurudi katika hali yake ya kawaida.
 
Pamoja na ukimya wake
katika muziki, Ray C a.k.a kiuno bila mfupa sasa anaonekana kuwa active
zaidi katika mitandao ya kijamii hususan Instagram. 
 
Ray C ameshare
baadhi ya picha na fans wake kupitia instagram ambazo kwa namna moja au
nyingine zinaongea zenyewe (kwa kusindikizwa na captions) juu ya maisha
yake ya sasa.
 
 Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu sasa hivi, thanks
kwa shavu alilopewa na Rais Jakaya Kikwete ambaye anamuita ‘Daddy’. 

Take a look more pics inside….


 
















SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment