Monday, 17 March 2014

HUU NDIO UCHAFU UNAOFANYIKA VYUONI









 
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.
Katika
uchunguzi wa muda mrefu, Inaonyesha kuwa kuna kamtindo ka wanafunzi
kufanya mapenzi ndani ya hostel zao huku wakijirekodi na kupiga picha
chafu na za aibu na wengine hata kuuza miili yao ili kukidhi hali ngumu
ya maisha iliyopo vyuoni


Data
zilizokamilika zilionesha kuwa wanafunzi hao waliojulikana kwa jina
mojamoja ni Maya mwenye umri wa miaka 19, anayesoma katika chuo maarufu
cha mahesabu, Raya anayebukua masomo ya Information Technology (IT) na
mwingine ambaye jina lake na chuo anachosoma havikupatikana...

No comments:

Post a Comment