Friday, 10 January 2014

Huyu Ndio Msanii Aliyejitoa Kwenye Record Lebel Ya Jay Z


Huyu Ndio Msanii Aliyejitoa Kwenye Record Lebel Ya Jay Z

Unakumbuka Mstari Wa Jay z "I Dont Get Dropt, I Drop The Lebel" Inaonekana M.I.A kautumia hapa. Mwaka 2014 ameanza tofauti kwa lebel ya rapper Jay z kwa kupoteza
mmoja ya wasanii wakali kwenye himaya yake, Huyu M.I.A ni msanii mwenye kipaje tofauti na wasanii wengine na kama hufatili vitu adimu kwenye game basi kazi zake zimekupita.


M,I,A Alikuwa chini ya usimamizi wa Roc Nation na alikuwa akisimamiwa kama msanii na kazi zake. Msanii huyu alitangaza kupitia kurasa yake ya Twitter kuwa " Anaondoka Roc Nation na anatoa shukrani zake kwa wote waliompa nguvu kupitia kazi yake ya MATANGI "
M.I.A Mwenye miaka 38 alianza kufanya kazi na Jay-Z mwezi May mwaka 2012 na kujiunga na wasanii kama Rihanna, J. Cole, Meek Mill na Wale

No comments:

Post a Comment