Monday, 2 December 2013

video 4 za Mabeste na B Hits walipokutanishwa live kuhojiwa pamoja na msg ya vitisho.



video 4 za Mabeste na B Hits walipokutanishwa live kuhojiwa pamoja na msg ya vitisho.

mb4Ni wiki kadhaa zimepita toka B Hits kutangaza kuacha kufanya kazi na rapper wa ‘baadae sana’ ambae ni Mabeste kutokana na kudaiwa kukosa nidhamu na kukiuka sehemu ya mkataba wake ambapo kufuatia malalamiko kutoka kwenye kila upande, B Hits na Mabeste walikubali kukutanishwa studio live ili kila mmoja atoe hoja live kupitia XXL ya Clouds FM.
Picha ya kwanza hapo juu ni Mabeste na mpenzi wake waliepata mtoto miezi kadhaa iliyopita.
mb3Amani kutoka B Hits.
mb2Picha za baadhi ya nguo ambazo Mabeste amewahi kusaidiwa na B Hits.
mb1
mb 4Hii hapa chini ndio inadaiwa kuwa msg ya vitisho aliyoituma Mabeste kwa B Hits.
MSG

No comments:

Post a Comment