Picha, Wanaume Wamevaa Hivi Ili Kuadhimisha Mwezi Wa Wanawake Duniani
Picha, Wanaume Wamevaa Hivi Ili Kuadhimisha Mwezi Wa Wanawake Duniani
Ili kuonyesha uelewa na jinsi wanavyo thamini mchango wa wanawake kwenye maisha yao wanaume hawa wamekubali kuvaa viatu vya kike aina ya High Hill [Skuna] ilikuonyesha wako tayari kupitia tabu na matatizo wanaopitia wanawake duniani na wanakubali sana mchango wao kwenye jamii. Wewe upo tayari kupiga picha na viatu hivi sasa? Picha ziko Hapa sammisago.com
No comments:
Post a Comment