Tuesday, 10 December 2013

Picha, Tattoo Ya Nelson Mandela Kwenye Mgongo Wa Rapper Game


Picha, Tattoo Ya Nelson Mandela Kwenye Mgongo Wa Rapper Game

 
Ukweli ni kwamba kifo cha Mwanaharakati Nelson Mandela kimegusa mataifa yote duniani, watu kutoka mabara yote wameguswa na msiba huu na kila moja ameonyesha kuguswa kwake kwa njia tofauti. Well rapper Game amechora tattoo itakayo kuwa kwenye mwili wake kwa muda mrefu sana. Picha hizi kutoka kwenye instagram ya Game ziko hapa




No comments:

Post a Comment