Monday, 9 December 2013

Picha Na Info, Hope Irakoze Wa Burundi Ndio Mshindi Wa Tusker Project Fame 6


Picha Na Info, Hope Irakoze Wa Burundi Ndio Mshindi Wa Tusker Project Fame 6



Mshiriki wa Tusker Project Fame Ya Sita Hope kutoka Burundi ametangazwa kuwa mshindi wa mashindano hayo ya vipaji Ya Project Fame na kuzoa Shilingi 5,000,000/= za Kenya. #Hongera
Mashindano haya ya vipaji yameisha tarehe 8 December 2013 huku Hope wa Burundi akiwafunika washindani wenzake kutoka nchi tofauti, Hisia kutoka Tanzania amekuwa wa Nne na wengine ni, Patrick kutoka Rwanda,Wambura kutoka Kenya, Daisy kutoka Uganda ,Amos na Josh.
 
Mashabiki wa Tpf wanasema Hope ameshinda kwa kuwa na sauti bora iliyogusa watu na kujua kuitumia kwenye kuimba. Ni Msanii wa kipekee kama atapata msimamizi mzuri.

No comments:

Post a Comment