Picha, Kitu Kipya Kutoka Kwa Produce KGT Shadeed Na Akili The Brain Kinakuja
Producer wa G Records, KGT Shadeed amepost kwenye kurasa yake ya facebook kuhusu kufanya kazi na producer/msanii Akili The Brain na kuwa kazi hio inatoka siku za karibuni.
Kgt ni producer mbunifu na mwenye midundo na melody za ukweli, ameshafanya kazi na wasanii wakubwa Tanzania akiwemo Ally Kiba, Bob Junior, Mr Blue Na Sheta.
Tusubiri wimbo huu kutoka kwa hawa jamaa, mategemeo ni kwamba itakuwa kazi ya ubunifu sana.


No comments:
Post a Comment